Blogger Widgets

Thursday, May 30, 2013

REST IN PEACE NGWAIR - PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea

Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa

Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu.



Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP.

0 comments:

Post a Comment