Blogger Widgets

Wednesday, May 29, 2013

PICHA 2 INTERVIEW YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA


theHOODinfotainment inapenda kutanguliza salamu za Pole kwa 
Familia ya Albert Mangwair
a.k.a Cowbama.........Ni huzuni iliyogubika ndani yao na ndani 
ya tasnia ya muziki wa Tanzania
kwa ujumla.....Ni ghafls na msiba wa kushtusha miongoni mwa watanzania 
wengi ndani na nje ya Tanzania waliokuwa wakifatilia muziki
wa marehemu Albert Mangwea kiujumla.....
Zifuatazo ni picha Mbili za marehemu Albert Mangwair alizopiga
 kwenye Interview yake ya mwisho kabisa
aliyofanyiwa na Mwanadada Fatna ndani ya kipindi cha HOTMIX cha EATV.....
Ngwair alipata kufunguka juu ya muziki wake na Collabo yake aliyofanya
 na mwanamuziki
chipukizi Mirror....Pia aliweza kuzungumzia mustakjabari wa 
muziki wa hip hop nchini Bongo
Pia aliweza kuweka wazi kuwa aliamua kuweka kambi nchini 
South Africa na kufanya muziki
International zaidi.......
Ingawa akufunguka juu ya vibao ambavyo alivyokuwa amerokedi nchini South Africa
huko ambapo Mauti yalipomkuta Siku ya jana.....

0 comments:

Post a Comment