Blogger Widgets

Wednesday, May 29, 2013

DULLAH WA PLANET BONGO APATA MTOTO WA KIKE USIKU HUU

Tarehe 29 mwezi wa 5 itakuwa ni tarehe isiyosahaulika kwa mtangazaji nguri wa kipindi cha PLANET BONGO ya EATV bwana Abdallah Ambua au almaaruf kama Dullah Planet baada ya mke wake kipenzi Amina Kagambo kufanikiwa kujifungua salama mtoto wao wa kwanza katika Hospitali ya Mikumi mnamo wa Majira ya saa tatu na nusu usiku huu... Mtoto huyo ni wa kike wamemtunuku jina la Tamirah this is diamond inawapongeza na inawatakia wanandoa hawa Upendo na mafanikio mema katika kumlea na kumkuza binti yao kipenzi....




0 comments:

Post a Comment