Blogger Widgets

Wednesday, May 29, 2013

Nu-joint Mwakalukwa akiwashirikisha Gentriez na Mwiro wanakwambia ngoma inaitwa "NENDA" sikiliza na ku-download hapa

Ni mkono toka kwa Mwakalukwa akiwashirikisha Gentriez toak wanene entertainment na Mwiro toka meccaCheka wanakwambia "NENDA" mkono umepikwa pande za noizmekah studios Arusha kwa DefXtro sikiliza HAPA kwa mawasiliano zaidi check na mwaka kupitia +255 718 441 699 keep supporting Tazanian Music

0 comments:

Post a Comment