Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Thursday, May 30, 2013

MUONE MBUNGE WA NYAMAGANA ALIVYOCHAFUA HALI YA HEWA BUNGENI, NAIBU SPIKA JOB NDUGAI AHAIRISHA KIKAO

  Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje, leo amechafua hali ya hewa bungeni baada ya kusoma hotuba yaake iliyowakasirisha wapinzani wenzao wa Chama cha CUF, jambo lililomfanya Naibu Spika Job Ndugai, kuahirisha Kikao cha Bunge mapema asubuhi. Wabunge wa CUF wakisimama na kucharuka huku kila mmoja akifoka kivyake ..... Wabunge wa Chama cha CUF wamezua tafrani hiyo Bungeni mjini Dodoma leo wakati Mbunge huyo wa Nyamagana,...

BREAKING NEWZZZ : MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATOKA, YAANGALIE HAPA

  BOFYA HAPA KUYAONA Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 1 Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 2 Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 3 Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 4   http://www.necta.go.tz  http://196.44.162.25/csee2012/Olevel. http://196.44.162.33/csee2012/Olevel. ...

REST IN PEACE NGWAIR - PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha...

Wednesday, May 29, 2013

Nu-joint Mwakalukwa akiwashirikisha Gentriez na Mwiro wanakwambia ngoma inaitwa "NENDA" sikiliza na ku-download hapa

Ni mkono toka kwa Mwakalukwa akiwashirikisha Gentriez toak wanene entertainment na Mwiro toka meccaCheka wanakwambia "NENDA" mkono umepikwa pande za noizmekah studios Arusha kwa DefXtro sikiliza HAPA kwa mawasiliano zaidi check na mwaka kupitia +255 718 441 699 keep supporting Tazanian Musi...

Toka New Way Music, Record label inayomilikiwa na producer Mosco "I jus Wanna Dance"

Toka New Way Music, Record label inayomilikiwa na producer Mosco wanakuja vijana watatu wakishirikiana na mwanadada Eslyne katika ngoma yao mpya inayoitwa "I jus Wanna Dance" ilorekodiwa katika studio za noizmekah chin ya Defxtro, Hii ngoma iwaendee club maniacs wote around tha world,Tunajipanga kushoot video yake anyday soon..kusikiliza I jus Wanna Dance bofya HAPA na endelea kusupport Tanzanian Music.For more info check...

Vanking akiwa amemshirikisha mwanadada toka Uganda anayekwenda kwa jina Renez na wimbo wa "Nivute" ANGALIA HAPA

Anakuja Kijana Vanking akiwa amemshirikisha mwanadada toka Uganda anayekwenda kwa jina Renez na wimbo wa "Nivute" ilosukwa pande za noizmekah studios Arusha, Ngoma ni mahadhi ya dancehall kuisikiliza download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Vanking kupitia +255 713 367 162 ...

Anakuja MTC,na ngoma mpya kwa jina "Hapa Hafungwi Mtu" SIKILIZA NA KU-DOWNLOAD HAPA

Anakuja MTC,na ngoma mpya kwa jina "Hapa Hafungwi Mtu" inayozungumzia zaidi mateso na athari wanazopata washtakiwa wa kesi za kusingiziwa ikiwemo dhuluma,kupoteza mali, kufungwa kwa tuhuma ambazo hawakuhusika. Ikiwa ni real life experience,MTC anatarajia kuja na Album kamili January 2014. Hapa hafungwi mtu imerekodiwa katika studio za Noizmekah na ni single ya utambulisho na ujio mpya wa MTC anayemiliki Studio ya YABISI RECORDS, "Uwongo umejitenga...

DULLAH WA PLANET BONGO APATA MTOTO WA KIKE USIKU HUU

Tarehe 29 mwezi wa 5 itakuwa ni tarehe isiyosahaulika kwa mtangazaji nguri wa kipindi cha PLANET BONGO ya EATV bwana Abdallah Ambua au almaaruf kama Dullah Planet baada ya mke wake kipenzi Amina Kagambo kufanikiwa kujifungua salama mtoto wao wa kwanza katika Hospitali ya Mikumi mnamo wa Majira ya saa tatu na nusu usiku huu... Mtoto huyo ni wa kike wamemtunuku jina la Tamirah this is diamond inawapongeza na inawatakia wanandoa hawa Upendo na mafanikio...

SOMA RIPOTI HII HUWENDA NDIO CHANZO CHA KIFO CHA ALBERT NGWAIR

Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair a.k.a Cowboy enzi za Uhai Wake -- Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair a.k.a Cowboy ni msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani Dodoma. Alihamia jijini Dar es Salaam, Tanzania ambako alikokutana na mtayarishaji mahiri wa mziki P Funk 'majani' au Kinywele Kimoja, na kuanza kufanya naye kazi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2003 ambapo alitoa kibao cha kwanza kiitwacho 'Ghetto Langu,' nyimbo ilimpatia umaarufu...

DAR_ES_SALAAM: Msiba wa Ngwair upo Mbezi Beach, Taratibu za mazishi zaanza

WAKATI rafiki wa msanii Albert Mangwea, M To The P naye amefariki dunia asubuhi ya leo nchini Afrika Kusini, familia ya marehemu tayari imeanza taratibu za mazishi. Nyota wa Bongo Fleva, Albert Mangwea maarufu kama Ngwair, alifariki dunia jana jioni akiwa nchini Afrika Kusini.  Inadaiwa Ngwair alifariki dunia kutokana na kuzidiwa na matumizi ya dawa za kulevya na wakati mwili wake unakimbizwa hospitali ya St Hellen Joseph, rafiki yake...

Lady Jaydee, Mwana FA, Izzo B na wasanii wengine waahirisha show zao kwa heshima ya Albert Mangwea

Takriban masaa 17 toka habari za msiba wa mwana chemba, Albert Mangwea aliyefariki jana (May 28) huko Africa Kusini kusambaa, tayari wadau wakiwemo wasanii wa muziki wa kizazi kipya wamechukua hatua za kumpa heshima marehemu kwa kuahirisha shughuli za kiburudani zilizokuwa zifanyike weekend hii. Kati ya show kubwa zilizokuwa zifanyike weekend hii ni pamoja na show ya “The Finest” ya Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA ambaye ametangaza kuahirisha...

PICHA 2 INTERVIEW YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA

theHOODinfotainment inapenda kutanguliza salamu za Pole kwa  Familia ya Albert Mangwair a.k.a Cowbama.........Ni huzuni iliyogubika ndani yao na ndani  ya tasnia ya muziki wa Tanzania kwa ujumla.....Ni ghafls na msiba wa kushtusha miongoni mwa watanzania  wengi ndani na nje ya Tanzania waliokuwa wakifatilia muziki wa marehemu Albert Mangwea kiujumla..... Zifuatazo ni picha Mbili za marehemu Albert Mangwair alizopiga  kwenye...

TAARIFA YA KIFAMILIA KUHUSU MAZISHI YA NGWEA NA JINSI MWILI HUO UTAKAVYOLETWA TANZANIA

Baba Mdogo wa Marehemu Mzee Mangweha ambaye yuko Mbinga Songea kikazi, amesema kuwa wamekubaliana na kaka yake mkubwa yaani baba mkubwa wa Ngwair, David Mangweha ambaye naye yuko Songea kuwa watu watakutanika Mbezi kwa msiba na pia mapokezi yatafanyika hapa Dar es salaam Mbezi Beach.   Ingawa bado kikao cha familia nzima hakijafanyika lakini baba huyo mdogo amesema wanaweza kulazimika kuzika Morogoro sehemu ambayo baba...

"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK

  Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi. ...

Tuesday, May 28, 2013

Nay Wa Mitego atoa siri ya kwanini huvaa viatu vya pair mbili tofauti!

Kuwa na ‘unique identity’ ni moja ya technics nzuri kibiashara kwa msanii sababu inafanya atambulike kirahisi na kwa haraka miongoni mwa wasanii wengi. Hakuna ubishi kuwa baba kijacho Nay Wa Mitego is running the game right now, kupitia hit song aliyoshirikiana Diamond Platnumz. Nay amekuja na style yake ya kuvaa viatu viwili vya pair mbili tofauti na ndivyo anavyoonekana mara zote anapokuwa popote iwe ni kwenye show au mtaani....

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA ADAM MCHOMVU BAADA YA KUANDIKWA MATUSI KATIKA WALL YAKE YA FACEBOOK

Adam Mchomvu about an hour ago via mobile Naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote aliyekwazika kwa maneno machafu yaliyoandikwa kwa wall yangu, na pia naomba nieleweke kwamba sihusiki na chochote kupost au kuandika chochote kuhusu kikwete foundation na picha za jdee ukiwa naked, sina ugomvi na yeyote naheshimu hisia za kila mtu nikiamini kila mtu Anamaamuzi yake.. Aliyeamua kutumia jina langu kufanya hao najua sasa...