Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Thursday, February 28, 2013

Wanawake wenye sura hii hawawezi kumuuwa nyoka akafa….!

Sura hiyo hapo ni ya mwanamke. Bila shaka umeshwahi kukutana na sura kama hii katika maisha yako. Kama hujawahi kukutana nayo huenda kuna siku utakutana nayo. Jaribu kuzingatia mdomo, meno, macho na paji la uso. Zingatia baadaye, sura nzima kwa ujumla.Mwanamke mwenye sura kama hii ana tabia zifuatazo:Ni mwanamke mcheshi na anayependa kujichakesha. ni mwanamke ambaye ana uwezo na ufahamu mkubwa kiakili. Anajua sana kujiuliza maswali...

Dola 377,000 zatumika kununua iPad bungeni

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.    BUNGE nchini Uganda limetumia zaidi ya  dola 377,000 kununa kompyuta aina ya iPad kwa ajili ya wabunge wote . Maofisa wa bunge hilo walisema kuwa mbali na kuwaweka wabunge hao karibu na  ulimwengu wa teknolojia, wanatarajia kuwasaidia kupunguza gharama za fedha zinazotokana na matumizi ya uchapishaji wa nyaraka mbalimbali. Kamishna wa bunge hilo...

HATARII........KIJIJI CHA UKAHABA CHAGUNDULIKA MBAGALA

watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi wa wananchi SIKU  chache baada ya kuibua danguro la vigogo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na wahusika kutiwa mbaroni na polisi, mwishoni mwa wiki waandishi wetu wamekifumua kijiji cha ufuska.   Kijiji hicho kilichogunduliwa Mbagala Zakhem, jijini Dar, wasichana na wavulana walinaswa wakifanya vitendo vya ngono kwenye moja ya mabanda ambayo yametengenezwa...

Salama Jabir achafukwa na roho ‘uchizi’ wamtanda, baada ya katakata ya umeme, MMCHEKI HAPA

      Siku za hivi karibuni kumekuwepo na katizo la umeme la mara kwa mara katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam (hatuna uhakika mikoa mingine mambo yakoje) kiasi cha kuathiri shughuli nyingi za kiuchumi. Kufuatia tabia hiyo ya Tanesco kufanya yao kila siku na kuwaweka wajasiriamali wanaotegemea umeme kwenye mawe, mtangazaji wa kipindi ca Mkasi, Salama Jabir, ameamua kuzipunguza hasira zake kwenye...

Meli ya Titanic kuingia majini tena, tiketi moja itauzwa kwa karibu tshs bilioni 1.5

Palmer akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo Bilionea wa nchini Australia Clive Palmer ametangaza mipango yake ya kujenga meli pacha ya Titanic lakini hii ikiwa na lifeboats za ziada ili kuwa na usalama zaidi kuliko ya mwanzo. Zaidi ya karne baada ya Titanic original ambayo ilidhaniwa kuwa haitaweza kuzama baharini lakini ikagonga jiwe la barafu la kuzama kwenye bahari ya Atlantic katika safari yake ya kwanza,...

Polisi wamuongezea ulinzi Rick Ross baada ya maisha yake kuwa hatarini tena, ANGALIA HAPA.

 Rick Ross, rapper ambaye amekuwa akilengwa kushambuliwa na kundi la wahuni, ameongezewa ulinzi na polisi wa jijini New York, Marekani…. saa 24 kwasababu ya kupokea vitisho vingine. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, polisi wamekuwa wakimlinda Ross aliyefikia kwenye hoteli ya The London kwa siku za hivi karibuni. Vyanzo vimeuambia mtandao huo kuwa vitisho vipya dhidi ya rapper huyo mwenye makazi yake jijini Miami, Florida...

KAMA ULIJIULIZA KWA NINI PREZZO HAKUONEKANA KTK MSIBA WA GOLDIE, JIBU LAKO HILI HAPA

Prezzo anaonekana akiwa amevaa nguo nyeusi zote, hii ilikua ni ibada ya kumuombea Goldie ambayo ilifanyika siku kadhaa kabla ya Prezzo kuondoka Nigeria kurudi Kenya. Ni watu wengi wanajiuliza imekuaje CMB Prezzo hajaonekana kwenye msiba wa mpenzi wake ambae walikua na plans za kuoana, Mnigeria Goldie aliefariki muda mfupi tu baada ya kufika Nigeria akitokea Marekani. Kwa sababu nimeamua kumuacha Prezzo apumzike kwa sasa,...

Wednesday, February 27, 2013

HUYU HAPA YULE MSANII ALIYEMTELEKEZA MTOTO STENDI YA UBUNGO

MREMBO aliyewahi kupamba video kadhaa za wasanii wa Bongo Fleva ukiwemo wimbo wa Kidato Kimoja ulioimbwa na J.I, anayekwenda kwa jina la Maya Silemwe, amedaiwa kumtelekeza mwanaye wa kumzaa aitwaye Junior Justine (3).   Tukio hilo la kusikitisha lilitokea hivi karibuni katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo jijini Dar es Salaam ambapo mtoto huyo aliokolewa na msamaria mwema.  Akisimulia mkasa mzima ulivyokuwa, shangazi...

HII HAPA SASA ILE VIDEO YA WIZKID – AZONTO

Ni mkali wa Nigeria ambae amekuwemo kwenye headlines kwa kipindi kirefu kidogo sasa hivi kutokana na stori zake za kuachana na lebo iliyokua inamsimamia na kuanzisha lebo yake mwenyewe, pamoja na hayo… mpaka sasa sijaelewa ile dili yake ya kuwa chini ya Akon iliishia wapi lakini theHOODinfotainment iko kwa ajili yako tunaakika tutaifanyia kazi hii is...

HIVI UNAUJUS UHUSIANO ULIOPO BAINA YA SHAA NA MASTER J ? Soma haps

Shaa na Master J. Hii interview ya Shaa kwenye Leo Tena ya Super Brand Clouds FM  Ni kuhusu alichosema kuhusu taarifa za uhusiano wake na Producer Legend Tanzania Master J, ilikua ni interview ambayo  watu wengi walienjoy kuisikiliza manake Dina Marios na Shaa na wengine waliokuwepo studio walikua wamechangamka sana alafu Shaa alijiachia vizuri pia. Alichojibu Shaa kwenye maswali ya ndio au hapana ni hapana, akisema...

HUYU NDIYE MTANZANIA ALIYEPEWA UWAZIRI NCHINI RWANDA,AUKANA UTANZANIA

http://j.mp/ZJgTRK" class="img" height="640" src="https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-snc7/s480x480/581789_489282891135710_1497187178_n.jpg" width="532"> RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Jumatatu iliyopita. Kabla ya uteuzi huo, Profesa Rwakabamba alikuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa...

ANGALIA VITUKO VINNE VYA MASANJA MKANDAMIZAJI KWENYE FACEBOOK LEO, VINACHEKESHA MNO

Kumbuka mjane ni aliefiwa na mwenzi wake. . . ...

Video za hip hop za mtoto wa miaka 9 ‘Lil Poopy’ zazua mjadala Marekani, polisi yapanga kumkamata baba yake. ANGALIA HAPA

Mtoto mwenye umri wa miaka 9, Luie Rivera Jr., ambaye jina lake la kisanii ni “Lil Poopy,” ameonekana kwenye video anazozipost online hususan kwenye mtandao wa YouTube, akicheza muziki na wasichana wakubwa kwa umri wake, akiendesha magari ya kifahari kama Ferrari na akirap maneno kama “coke is not a bad word.” Katika video nyingine mtoto huyo anaonekana akicheza na msichana katika pozi chafu huku watu wakimtupia...

Madee HAKANA usanii wake soma hapa

  Rapper wa kundi la Tip Top Connection Hamad Ally aka Madee amedai kuwa yeye sio mwana Hip Hop na wala sio shabiki wa muziki huo. Madee ambaye aliwahi kuachia wimbo uitwao Hip Hop Hailipi amefunguka kupitia Clouds FM kuwa haimbi hip hop bali ni rapper. “Watu wanashindwa kutofautisha, mimi sio mwana hip hop mimi ni ‘rapper’ ndio maana naweza kuweka michano kwenye beat yeyote na nikafanya poa,” alisema Madee. “Nakumbuka...

ALIPOANZA KUTOKA DIAMOND KIMZIKI NI HAPA

We started from the bottom naw we here....!!!   ...

Ray: HAYA NDIO MAJIBU ALIYOYATOA KWANINI AMEKONDA, AMEULIZA SWALI MOJA KWA MASHABIKI WAKE SOMA HAPA "Jamani siumwi bali nafanya mazoezi tu"

  Muigizaji aliyepo kwenye list A ya waigizaji wa filamu Tanzania, Vincent Kigosi aka Ray ameamua kuzungumza baada ya watu kuanza kumzushia anaumwa kutokana na kupungua mwili wake kwa kiasi kikubwa. Picha hiyo ya juu inamuonesha alivyokuwa mwanzo (kushoto) na jinsi alivyo sasa (kulia). Ray amezikanusha tetesi hizo zilizoanza kusambaa kwa haraka ambapo gazeti la udaku la Kiu wiki hii lilikuwa na habari isemayo, ‘Ray apukutika...

Cpwaa: I’m about to kiss Bonga Flava goodbye

  Rapper aliyewahi kutajwa kuwania tuzo za Channel O, Ilunga Khalifa aka Cpwaa The Supreme amekuwa kimya tangu aliporejea kwenye tuzo hizo za mwaka jana lakini ukimya huo una maana kubwa. Kutokana na posts mbalimbali anazoziandika kwenye Facebook na Twitter, crunk master huyo anaonesha atakuwa chini ya menejimenti mpya itakayosimamia kazi zake. Akiwa chini ya menejimenti hiyo mpya, Cpwaa anadai ataiiaga rasmi Bongo...

ALIPOANZA KUTOKA DIAMOND KIMZIKI NI HAPA

We started from the bottom naw we here....!!!   ...

HUU NDIO UTHIBITISHO WA KWANZA WA CHRIS BROWN KURUDIANA NA RIHANNA, KAULI YA CHRIS MWENYEWE..

. Kwa wanaopenda mapenzi ya hawa mastaa hii post najua hii post itawahusu sana na kuwapa furaha. Kwa kipindi kirefu toka wamerudiana kimapenzi na Rihanna Chris Brown sijawahi kumsikia au kumuona akizungumzia huu uhusiano manake kwanza stori zilikua zinasikika kama fununu tu. Sasa juzi kwenye usiku wa Oscar, Chris amethibitisha rasmi uhusiano wao wa kimapenzi kurudi ambapo amekaririwa akiongea na Page Six akisema “ni kweli tumerudiana,...

Tuesday, February 26, 2013

Wanajeshi wa Marekani wakiri kubaka. soma hapa ujue ni kwanini walibaka

Wanajeshi wa jeshi la wanamaji la Marekani, wamekubali mashtaka ya kumbaka mwanamke mmoja katika kesi ambayo imeibua hisia kali dhidi ya Marekani. Wanaume hao. Walimvamia mwanamke huyo, wakati wa ziara yao fupi katika kisiwa cha Okinawa, makao kwa kambi kubwa ya jeshi la Marekani barani Asia. Sheria ya kutotoka nje iliyowekewa wanajeshi karibu elfu hamsini kufuatia tukio hilo Okotoba mwaka janaKumekuwa na hali ya wasiwasi kati ya majeshi ya...

UMESHAWAHI KUMUONA MKE WA OBAMA AKICHEZA HIVI? angalia hapa.

Michelle Obama ni mama mwenye umri wa miaka 49 akiwa ni mke wa rais wa 44 wa Marekani pia akiwa ni first African-American First Lady of the United States, mtazame kwenye hii video akionyesha uwezo wake mwingine wa kudance kwenye Evolution Of Mom Dancing. ...

HII HAPA STORI KAMILI KUHUSU CHRIS BROWN NA RIHANNA KUFUNGA NDOA

RiRi na Chris Brown. Jarida maarufu (Star Magazine) limeripoti kwamba mastaa wa muziki Chris Brown na Rihanna wanampango wa kufunga ndoa mwishoni mwa July 2013 nyumbani kwa kina Rihanna huko Barbados. Jarida hili limeendelea kutiririka kwamba kwenye ndoa hiyo wamepanga kusherehekea na watu mbalimbali wakiwemo wanaoamini kwamba Chris Brown amebadilika kitabia. Ni harusi ambayo watu wote walioalikwa watakua wamesimama na wahudumu...

ADHABU ALIYOPEWA KOCHA WA AZAM FC BAADA YA KUVUA BUKTA UWANJANI, SOMA HAPA ADHABU HIYO NA KWANINI ALIIVUA BUKTA HIYO.

. Kocha wa club ya soka ya Azam FC Stewart Hall amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya Sh 500,000 kwa kushusha bukta aliyokua ameivaa wakati akimlalamikia mwamuzi msaidizi kwenye mechi ya Azam na Kagera Sugar kwenye ligi kuu ya Tanzania bara January 26 2013 Chamazi, Mbagala Dar es Salaam. Adhabu imetolewa na TFF baada ya kukutana  na kupitia ripoti za michuano ya Ligi kuu na Ligi Daraja la Kwanza. Kocha Msaidizi...

RAY AKONGOROKA GAFLA AIBUA MASWALI KWA WADAU WAKE, ANGALIA PICHA ZAKE HAPA

MWIGIZAJI Vincent Kigosi ‘Ray’ amezua hofu kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wake baada ya kukongoroka ghafla akihisiwa anaumwa, Ijumaa Wikienda limemfuatilia hatua kwa hatua.   Vincent Kigosi ‘Ray’ alivyo kwa sasa. KWENYE ‘BETHIDEI’ YA BATULIWiki kadhaa zilizopita paparazi wetu alishtuka alipomuona Ray kwenye ‘bethidei’ ya mwigizaji sistaduu Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ndani ya Hoteli...

WAJUE NA KUWATAMBUA FREEMASON, HAWA HAPA.

Historia ya Freemason imegawanyika katika Nyakati kuu mbili tofauti, Yaani Kabla na baada ya Grand Lodge of England on 24th June 1717. Baada ya kutengenezwa kwa Grand Lodge huko Uingereza ambazo zilikuwa maalumu kwa Freemason, Freemason walianza kuenea Duniani kote kwa kutengeneza Lodges za mtindo huohuo katika nchi nyingine, na sasa ikafika hadi Tanzania, Kabla ya ukoloni. Marekani ilifika Mwaka 1775. Ningependa kuwapa kazi ambazo...