Blogger Widgets

Wednesday, February 27, 2013

HII HAPA SASA ILE VIDEO YA WIZKID – AZONTO




Ni mkali wa Nigeria ambae amekuwemo kwenye headlines kwa kipindi kirefu kidogo sasa hivi kutokana na stori zake za kuachana na lebo iliyokua inamsimamia na kuanzisha lebo yake mwenyewe, pamoja na hayo… mpaka sasa sijaelewa ile dili yake ya kuwa chini ya Akon iliishia wapi lakini theHOODinfotainment iko kwa ajili yako tunaakika tutaifanyia kazi hii ishu.

0 comments:

Post a Comment