Blogger Widgets

Wednesday, February 27, 2013

HIVI UNAUJUS UHUSIANO ULIOPO BAINA YA SHAA NA MASTER J ? Soma haps

Shaa na Master J.

Hii interview ya Shaa kwenye Leo Tena ya Super Brand Clouds FM 
Ni kuhusu alichosema kuhusu taarifa za uhusiano wake na Producer Legend Tanzania Master J, ilikua ni interview ambayo  watu wengi walienjoy kuisikiliza manake Dina Marios na Shaa na wengine waliokuwepo studio walikua wamechangamka sana alafu Shaa alijiachia vizuri pia.
Alichojibu Shaa kwenye maswali ya ndio au hapana ni hapana, akisema “Ndugu mtangazaji hapana, hatuna uhusiano wowote”
Kwenye mstari mwingine Shaa alisema mpenzi wake atatambulika baada ya wazazi wake kumfahamu na kupokea mahari, baada ya hapo sasa kadi za mwaliko ndio zitaweka ukweli ambao wengi wanataka kuujua.

0 comments:

Post a Comment