Blogger Widgets

Sunday, February 24, 2013

KANYE WEST NA KIM K WANATARAJIA MTOTO GANI? HUYU HAPA

.
Kwa uzoefu nilionao toka nimeanza uandishi wa habari nimegundua kwa mastaa wa dunia, ishu ya kupata mtoto huwa sio stori ndogo kwenye vyombo vya habari tofauti na Bongo ambako itazungumziwa siku mbili tatu ipite.

Kwa nchi kama Marekani waandishi wamekua wapekuzi sana, wakisha
sikia mtu flani ana ujauzito watamfatiliaaaa na mapicha kibao.

Jingine waliloibuka nalo sasa hivi baada ya kufatilia ni kwamba Tv Star Kim Kardashian na rapper Kanye West wanatarajia kupata mtoto wa kike july 2013.

Hii stori imekuja siku chache tu baada ya rapper Wiz Khalifa kupata mtoto wa kiume na star Amber Rose ambae ni dem wa zamani wa Kanye West.

0 comments:

Post a Comment