Blogger Widgets

Wednesday, February 20, 2013

CHUO CHA MAFUNZO YA UGAIDI CHAGUNDULIKA UKEREWE (MWANZA) soma stori hii hapa ujionee nchi yetu

Nimeipata hii toka power breakfast,chanzo kikiwa gazeti la mtanzania ukurasa 1-3.chuo hicho kinasemekana kujengwa katika kisiwa cha ukerewe!baadhi ya mafunzo yanayotolewa chuoni hapo ni pamoja na kung'fu,karate,na kutumia majambia!chuo kina watu wa rika mbalimbali,watoto,vijana na watu wazima!inasadikiwa chuo hicho kinafadhiliwa na kikundi cha kigaidi alquaeeda chini ya dini moja ambayo haijatajwa!wageni wanaofika chuoni hapo wanaonekana wa kutisha,na hufika na mizigo ya kanzu majambia etc!waliopo karibu na gazeti hilo jisomeeni!KAZI IMEANZA!
chanzo:jamiiforum/jukwaa la siasa

0 comments:

Post a Comment