Blogger Widgets

Sunday, February 17, 2013

HUYU NDIO MTOTO WA LIL WAYNE ALIYE PEWA MKATABA WA KUREKODI NA YOUNG MONEY.



Reginae Carter
Rapper Lil Wayne amempa Mtoto wake wa Kike mkataba wa kurekodi Chini ya Lebel Ya Young Money. Binti huyo Reginae Carter mwenye miaka 14 alikuwa kwenye kundi la The OMG Girls kama msanii mpaka mwaka 2010 alipojitoa na kwa sasa atakuwa akifanya kazi kama solo artist. Taarifa hizi alizitoa rais wa Young Money Mack Maine. Reginae Carter ni mtoto wa Msanii na Mwigizaji Toya Wright. Wasanii wengine wapya chini ya lebel Hii Ni PJ Morton, Torion Sellers Na We the Future.
 
Reginae Carter Na Lil Wayne

 

0 comments:

Post a Comment