Blogger Widgets

Wednesday, February 20, 2013

HIVI UNAJUA DIAMOND NDIO MSANII WA KWANZA KUWEKA HISTORIA TANZANIA? ANGALIA HAPA UJUE NI KWANINI


Kiukweli Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha  usiku wangu huu wa Usiku wa Valentine  uliofanyika Mjini Arusha ndani ya CLUB SAFARI CARNIVAL Tareh 16/02/2013....maana ilikua ni mara ya Kwanza kwa Msanii wa kitanzania kufanya show kwa Kiingilio kikubwa cha (150,000) Laki Moja na Nusu na watu kufurika pasipo hata mimi kutegemea.....Kiukweli ilinifariji sana na kuona kweli Watanzania wanathamini na kujali vipaji na sanaa zao tofauti na zamani tulikuwa tukiona show ya
 kiingilio kikubwa ni mpaka msanii wa kutoka nje akija nchini ndo watu ujaa kwa wingi..!
Inanipa hali ya kuzidi kufanya vizuri, kujituma na kuwa mbunifu zaidi ili nami kesho na kesho kutwa niweze kuiweka Nchi yangu kwenye Ramani nzuri ya
 Tasnia ya Muziki....!!
Niushukuru Pia Uongozi mzima wa CLUB SAFARI CARNIVAL,
 MOUNT MERU HOTEL... Ma Boy
Victor,Erick na Wanangu wote Niliokuwa nao Pamoja Arusha..Bila kumsahau My Blood Ibrah Madharau

Shuguli Ilihanza Hivi.........!!










 









 





























0 comments:

Post a Comment