Blogger Widgets

Saturday, February 23, 2013

Hivi unayakumbuka Mashetani wa Khanga Moko walivyovamia mkoa wa Kigoma... angalia hapa

<

Wasaanii wa kundi la Khanga Moko wakionesha aina ya uchezaji wa aibu katika ukumbi wa Kizota katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji. Shoo za aina hii ni Laana na inabidi wazazi na wanaharakati wa haki za wanawake watoe tamko kulaani aina hii ya uchezaji. Kwa upande wa serikali, itumie nguvu zake kuzuia laana hii isizidi kutapakaa. Kutokana na maadili ya blog hii ya theHOODinfotainment, baadhi ya picha "chafu zaidi" tumeshindwa kuziweka.

0 comments:

Post a Comment