Blogger Widgets

Monday, February 18, 2013

HIVI NDIVYO LINEX ALIVYOTANGAZA RASMI VICHWA VIPYA NDANI YA KUNDI LAKE LIPYA MMOJAWAPO STARA THOMAS KAJIUNGA V.O.A

Linex Sunday baada ya kuunda kundi lake jipya linalofahamika kwa jina la Voice of African na kupelekea mashabiki wengi kukubali kazi zao katika tasnia hii.
Leo kupitia katika ukurasa wa linex aliandika"Nachukua nafasi hii kumtangaza mwana dada Mwenye sauti ya tofauti Stara THomas kuanzia leo atakua ni mwanamuziki kutoka V.O.A kama una swali kuhusu hili litajibiwa"alisema Linex
Kwa hiyo wale mashabiki wa Voice of Africa kuanzia sasa utakuwa ukimsikia Stara Thomas ndani ya Kundi ilo V.O.A info by Linex

0 comments:

Post a Comment