LEO
NDO SIKU NILIO ZALIWA NINAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE ALIYO NITENDEA MPAKA
KUFIKIA HAPA,AMENIEPUSHA NA MENGI AMENIONGOZA KWA MENGI AMENIWEKA HADI
LEO HII WAKATI KUNA HATA WALIO WADOGO KWANGU WAMEPOTEZA MAISHA KWA
MAGONJWA NA AJALI MBALIMBALI,WENGINE WAKAWAPOTEZA WAZAZI WAO ILA MIMI
NINAO WENGINE WANAISHI MAISHA YA TABU SANA BUT MIMI KANIPA NEEMA NA
MENGINE MENGI .THANX MUCH GOD.PIA NIMSHUKURU SANA
MAMA YANGU KIPENZI NAMPENDA SANA KWA KUNILETA DUNIANI ,KUNILEA MPAKA
KUFIKA HAPA,MAMANGU NAKUPENDA SANA SANA NA HUWA NA NITAZIDI KUKUOMBEA
MAMA YANGU MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU ZAIDI,PIA MUNGU AKUTANGULIE NA
KUKUONGOZA KATIKA MASOMO YAKO UNAYOFANYIA HOLAND KWA MUDA HUU
NIMEFIKISHA MIAKA YANGU KADHAA THANX A LOT MY LOVELY MUM,PIA THAX A LOT
MY PAPA AND ALL MY FAMILLY AND ALL FRNDS OF MINE ZAIDI SANA SALOME
OBADIA AND YUSHA SHABAN NAWAPENDA SANA MUNGU NAOMBA UNIEPUSHE NA MABAYA
YOTE UNIPE NEEMA YA ROHO MTAKATIFU WAKO ANIONGOZE AMEN...!!!
NGAIC MARCO NI Chief Executive Officer KATIKA BLOG HII YA
theHOODinfotainment LEO HII NI SIKU YA FURAHA SANA KWAKE KWANI NDIO SIKU YAKE YAKUZALIWA. DIRECTOR WA BLOG HII NA CREW NZIMA PAMOJA WADAU, BLOGGER'z NA WASOMAJI WOTE KWANIABA YENU NAMTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE MAFANIKIO KATIKA MIPANGO YAKE YA KIMAISHA.
.........HAPPY BIRTHDAY NGAIC.........
0 comments:
Post a Comment