Blogger Widgets

Monday, February 18, 2013

HII INAWAHUSU WANAUME NA WANAWAKE KWA UJUMLA, ANGALIA HAPA MDAU MMOJA KUTOKA FACEBOOK ALICHOKIANDIKA, ETI MWANAUME KUWA NA SOKO HAPA MJINI. Soma hapa stori hii ujione wewe uko wapi.



Zamani,Mwanaume ili uwe na
soko hapa mjini ilikuwa lazima
upige chuma,uwe na mwili wa
mazoezi,soap soap pamba
kali,moka mchongoko kama
mchaga wa mbarali,basi una uhakika unan'goa mzigo
kiulaini...Wazee wetu
waliopenda dogodogo
walikuwa bize sana Saloon
kupaka Superblack na Picol ili
kuficha mvi ili soko lao liwe japo angalau...
Ukitaka kuamini dunia duara
siku hizi walaaaaa,we kuwa na
mtumbo mkubwa suruali saizi
52,midevu,sura mbaya,mvi
kibao kama lowasa ila uwe na hela,unapata
watoto
wote,kuanzia form 2,mademu
wa chuo ndo kabisa elimu
haiwasaidii wakiona mvi ndo
pichu zinapwaya,utaitwa baby japo una wajukuu.. Na Hii ni nguvu ya
Mpesaaaaaaaaa,hela
ilimsaliti Yesu...Hela inauza utu
wa wanawake,wanalala na
baba zao bila aibu ili wapate
hela ya high heels...Na kuna wanaume wanainamishwa ili wapate
magari...Mungu okoa
hiki kizazi maana watoto wetu
watakaozaliwa na kizazi hiki
cha nyoka sijui watakuwaje
kama mama zao hawana tofauti na changudoa wa Corner Bar 1..
Like · · 12 minutes ago via mobile ·

0 comments:

Post a Comment