Blogger Widgets

Wednesday, February 20, 2013

UNAUJUA UJIO MPYA WA KING OF LOVE NA MR.BLUE UTAIPENDA KWANI NI BALAA

Msanii wa kizazi kipya ambae pia ni muigizaji mahiri, Hemedy PHD anatarajia kuachia ngoma yake nyingine hivi karibuni.
PHD [Pretty Huge Dude], ametangaza hili kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa ataachia ngoma hiyo ambayo amemshirikisha star miwingine katika music industry ya Bongo, Mr. Blue a.k.a Byser ambayo itajulikana kama REST OF MY LIFE.

At the moment, PHD anafanya vizuri na ngoma inayojulikana kama Going Crazy ikiwa imefanywa na producer kutoka BHitz Music Group, Pancho Latino ikiwa na video yake pia.
REST OF MY LIFE, PHD anataka kutuambia nini kwenye Title hii??? Stay hapa hapa... we'll break out with that ikitoka... One!

0 comments:

Post a Comment