Blogger Widgets

Sunday, February 17, 2013

ULIWAHI KUWAZA KAMA WEMA SEPETU SIKU MOJA ANGEKWAMBIA HII NDIO OFISI YAKE MPYA? CHEKI PICHA HIZI HAPA


.
Kwenye Exclusive interview na AMPLIFAYA ya CLOUDS FM, mwigizaji Wema Sepetu december 2012 alisema miongoni mwa mambo aliyotamani kuyafanikisha 2012 na hayakufanikiwa ni kufungua ofisi yake mpya ambayo itahusika pia na ishu za movie kwa asilimia kubwa, 2013 ndio hii na mipango yake imekamilika.
Kwa sasa unaweza kutazama picha za hii ofisi yake mpya lakini taarifa nyingine ikufikie kwamba siku yoyote kwenye wiki hii inayoanza kesho, Wema ataitambulisha ofisi yake mpya ambapo millardayo.com itakuepo eneo la tukio, endelea kuwa karibu mtu wangu wa nguvu.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Wema Sepetu na Zamaradi Mketema wa TAKE ONE ya CLOUDS TV, hakikisha uko karibu yangu kupitia facebook.com/millardayo instagram.com/millardayo.com na twitter.com/millardayo manake stori zote za papo kwa papo huwa nazidondosha huko kwanza mtu wangu wa nguvu.

KUPITIA theHOODinfotainment MUCH RESPECT KWAKO WEMA SEPETU

0 comments:

Post a Comment