Blogger Widgets

Thursday, February 21, 2013

MAFUNDI WA TANESCO IRINGA WAWASHA UMEME WAKATI MWENZAO AKIWA BADO YUKO JUU YA NYAYA NA KUMSABABISHIA KUNASWA, MUANGALIE FUNDI HUYO ALIVYONASWA HAPA



Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo. Picha na Geofrey Nyang’oro

0 comments:

Post a Comment