Blogger Widgets

Wednesday, February 27, 2013

HUU NDIO UTHIBITISHO WA KWANZA WA CHRIS BROWN KURUDIANA NA RIHANNA, KAULI YA CHRIS MWENYEWE..

.
Kwa wanaopenda mapenzi ya hawa mastaa hii post najua hii post itawahusu sana na kuwapa furaha.
Kwa kipindi kirefu toka wamerudiana kimapenzi na Rihanna Chris Brown sijawahi kumsikia au kumuona akizungumzia huu uhusiano manake kwanza stori zilikua zinasikika kama fununu tu.
Sasa juzi kwenye usiku wa Oscar, Chris amethibitisha rasmi uhusiano wao wa kimapenzi kurudi ambapo amekaririwa akiongea na Page Six akisema “ni kweli tumerudiana, She is the most beautiful girl in the world, nilikua niwe nae hapa ila imeshindikana sababu anajiandaa na Tour yake”

0 comments:

Post a Comment