Blogger Widgets

Sunday, February 24, 2013

Hivi ndivyo Professor Jay atapeliwa na promoter wa kanda ya ziwa “Edwin Ngere”

prof-j


Professor ametoa taarifa kwa fans zake yupo kanda ya ziwa kwajili ya show na alifanikiwa kufanya show 5 lakini promoter ambae alikuwa anasimamia show zake amemtapeli pesa ya show 5 na kumwibia laptop, Professor amesema “amenidhurumu pesa zangu za show 5 na kukimbia na LAPTOP yangu pia.. nilimkamata na kumpeleka polisi AMEACHIWA!”

0 comments:

Post a Comment