Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Sunday, March 31, 2013

TOUR YA DIAMOND KANDA YA ZIWA YAFIKIA BUKOBA, BARABARA ZAFUNGWA, HUU NDIO UMATI WA WATU ULIOMPOKEA

kanga moja pia walikuwa ndani... haatariiii waacheni watoto waje kwangu..   ...

HAWA HAPA WALE MACHANGUDOA DODOMA WALIOKAMATWA NA VIDONGE VYA ARV'S, WAPENDA MACHANGU KUWENI MAKINI SANA

WANAWAKE watatu raia wa Rwanda wanaosadikiwa kuendesha biashara ya ukahaba mjini Dodoma wamekamatwa na kupewa siku tatu kuondoka nchini, huku wawili kati yao wakikutwa na vidonge vya kupunguza makali ya virusi ya Ukimwi (ARVs).Kukamatwa kwa wanawake hao ambao ni Esperance Hagenimana (28), Vestina Zaninika (27) na Ziada Mukamurera (25), kunafuatia mmoja wao Esperance kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi kuwa alikuwa ameibiwa...

CHEKI RAIS OBAMA AKIWA NA FAMILIA YAKE WAKIENDA KANISANI SIKU YA PASAKA KWA MIGUU

source: http://kandorodaddycool.blogspot.com...

MAGAZETI YOTE YA LEO YAKO HAPA, TAZAMA YALICHOANDIKA MWANZO NA MWISHO

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...