Blogger Widgets

Tuesday, March 19, 2013

AMBER ROSE AONYESHA PICHA ZAKE BAADA YA KUJIFUNGUA "AMAZING" ZICHEKI HAPA PICHA HIZO


Ikiwa ni wiki kadhaa tu tangu ajifungue mtoto wake wa kwanza, Amber Rose  anaonekana kuwa na muonekano mzuri.
moidel na mama mtoto wa Wizy Khalifa, alikuwa kimya tangu alipojifungua mtoto huyo wa kiume aliempa jina la Sebastian "Bash" Taylor Thomaz, lakini jana alituma tweet yenye picha ya muonekano wake baada ya kujifungua...na anaoneka bomba sana..

"3 weeks after giving birth to Sebastian and I feel amazing! :-)" Amber alitweet pamoja na picha akiwa ndani ya gauni jekundu, lililoacha sehem kubwa ya miguu yake ikiwa wazi


na kwa inavyoonekana , Wizy anaonekana kupenda zaidi muonekano wa Rose kwa sasa, pale Rose alipotweet
 "I Love the fact that we still make out like teenagers."

0 comments:

Post a Comment