Blogger Widgets

Tuesday, March 26, 2013

TID AVUNJA KIOO CHA GARI LAKE KWA HASIRA YA UGOMVI WA CHIDI BENZI NA NGWAIR

Inasemekana baada ya Chidi Benzi kumpa kitu inauma Ngwea, TID alipatwa na hasira na kupasua kioo cha gari lake, kwa kutumia mkono wake, lakini mwenyewe amesema hajavunja kwa kutumia mkono bali alipiga punch kwa kutumia key holder 
"hawa jamaa wanapigana pigana tu, me wananiuzi unajua kwanini , kwanini wao wanapigana pigana kila saa tu, huyu mara kampiga huyu and we all spend time together, at the end of the day wao wanaanza kupigana, mimi wananiconfuse, wananipotezea concentration ya kazi, but i was just angry, hata mama ananisema kwanini nimevunja kioo, lakini nimemwambia tu mama i was just angry thats it"amesema TID

"hakuna sababu ya msingi watu wanapigana tu, watu wanongea saa zote tupo wote halafu baadae unaona watu wanaanza kupigana, unauliza sababu eti huyu kanambia mi dogo.. come on man.
mi nimewamind wote wanaopigana na ku disturb peace kwenye concentration ya kazi, violence inaonyesha sisi ni wajinga" aliendelea kusema TID
 

0 comments:

Post a Comment