Blogger Widgets

Wednesday, March 27, 2013

TAARIFA KUHUSU HII TWEET INAYODAIWA YA KIM KARDASHIAN KUITUKANA NIGERIA, UKWELI WAKE NA ALICHOSEMA HUU

Kwenye tweet ya leo iliyosambaa imeonekana kwamba Tv Star wa Marekani Kim Kardashian ameitukana au kutoa maneno machafu kwa Nigeria aliyoitembelea hivi karibuni na kulipwa mamilioni kutokelezea kwenye party moja ya dakika chache katika siku ya wapendanao.
Tweet hii iliyosambaa inaonekana akiwa ameandika Nigeria ni nchi mbaya ndio maana alikua ana hamu ya kuondoka kwenye nchi hiyo mapema baada ya kumaliza kazi, na anakubali kwamba wanawake wa nchi hiyo wanafanana na nyani.
.
Hii ndio tweet feki, ufeki wake unakuja kwa huo mstari hapo juu unaotenganisha namba za followers na tweet, hizi ni picha zimeunganishwa manake pia hiyo sehemu fans waliyoretweet isingeonekana kirahisi, tazama muonekano kama huu hapa chini, kama kweli ingekua katweet yeye ingeonekana kama hapa chini inavyoonekana.
.
.
Hiki ndicho cha kweli alichotweet Kim Kardashian sasa hivi.
.
.

0 comments:

Post a Comment