Blogger Widgets

Saturday, March 23, 2013

Upigaji picha wa Ngwair wa kutengeneza pembe 3 na jicho 1 unamaanisha nini?

Wasanii wakubwa wa nchini Marekani wakiwemo Jay-Z, Beyonce, Kanye West, Lady Gaga na wengine wamekuwa wakizungumzwa kuwa ni wanachama wa jamii ya siri ya Illuminati kutokana na utajiri wao na baadhi ya picha wanazopiga kuonesha ishara ya pembe tatu na jicho moja.
Eddie Murphy
Eddie Murphy
Lada Gaga
Lada Gaga
Beyonce na Jay-Z
Beyonce na Jay-Z
lady-gaga-illuminati
Alama hiyo ndio huwakilisha Illuminati (Tanzania maarufu kama Freemason) na katika wasanii wengi waliowahi kuonekana kwneye picha wakionesha alama yake kwa mikono yao, Beyonce, Jay-Z na Lady Gaga wanaweza kuongoza. Lakini kwa hapa Tanzania rapper Ngwair pengine ndiye anayeongoza kwa kupiga picha akionesha alama yake.
IMG_0112
Ngweir-na-izzo
Huenda ni aina ya pozi la picha alipendalo zaidi Ngwair, ama unaonaje msomaji wetu?

0 comments:

Post a Comment