Blogger Widgets

Saturday, March 16, 2013

HII INAWAHUSU MASHABIKI WA BOB JUNIOUR...!!! Huu ndio muonekano mpya wa Bob Junior

Ni wiki kadhaa sasa Rais wa Masharobaro nchini Tanzania, Bob Junior yupo barani Ulaya katika ziara kwenye nchi mbalimbali akipiga mkwanja kama kawa. Akiwa huko amekuwa akipost picha mbalimbali za show zake na jinsi anavyokula bata.
531590_10151393519354962_1275671866_n
Weekend hii ameshare picha ya muonekano wake mpya wa nywele na mashabiki wengi wameonekana kuupenda.
Hitmaker huyo wa OYOYO ameandika kwenye picha hiyo, “New look rais wa masharobaro bado siku 3 nisheherekeeee siku yangu yaku zaliwa upya love u all. 

source: bongo5.com

0 comments:

Post a Comment