Blogger Widgets

Monday, March 18, 2013

PICHA ZA WASANII WA BONGO WANAOFANANA NA MASTAA WA MAREKANI

Kuna usemi unasema duniani wawili wawili.....Hapa ni picha za wasanii wa bongo na wa USA inasemekana wasanii hawa  wanafanana...JE wewe unawaonaje waweza kutoa maoni yako pia baada ya kuziangalia picha hizi....
MWANA FA NA FABULOUS







GODZILLA NA 50 CENT
50 CENT NA CRAZY GK
T-PAIN NA QUICK
QUICK RACKA NA T-PAIN

AMINI NA JOE
AMINI NA JOE THOMAS

0 comments:

Post a Comment