Blogger Widgets

Wednesday, March 27, 2013

Ukatili: Huyu hapa yule Binti Abakwa Mpaka Kufa mbele ya Kanisa

 Bint aliyejulikana Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa(Voda st)Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort(NR) ktk muziki cku ya ijumaa.Inasadikika marehemu alilewa na wabakaji alitoka nao muziki.

0 comments:

Post a Comment