Blogger Widgets

Friday, March 29, 2013

Rayuu amchana Sintah. Wanawake wamshabikia, wanaume wamshukia

Inaonekana bifu kati ya mastaa, warembo Rayuu Alice Bagenzi na Sintah haijafa bado. Jana Rayuu amemchana tena Sintah kupitia Facebook. Alichosema kipo hapo chini, lakini kitu ambacho nimeona very interesting, ni tofauti ya comments kati ya wanawake na wanaume.


Wanawake, karibu asilimia mia, wanamsapoti au kumshabikia Rayuu. Wanaume karibu wote aidha wako neutral au wamemshukia Rayuu. Nadhani kuna mwanaume mmoja au wawili tu ambao wameshabikia. Nimegawanya na kuambatanisha baadhi ya “typical” comments za wanawake kwanza, halafu za wanaume zinafuatia chini yake. Zicheki hapo chini. Unadhani hii tofauti ya mwitikio kati ya wanawake na wanaume inatokana na nini?
Alichosema Rayuu:
“kujibishana na nani vile anaitwa ….. gyz nisaidieni aliimbwa sn na nature cz alichoka nakujiuza kwake:nani anaitwa jamani cz me niliwahi mona mara1 masenze akiwa bsy kusimamisha magari;ss cjui alikuwa anafanya nn!ali maarufu kama bibi kizee anaye tafuta umaarufu kupitia migongo ya wenzie!ss sikia kizee dida anakutafuta na akikupata ……???ndo utajua kuwa ww ni kibibi umri umepita!!wateja wako wanasema.acha kuvaa matako ya bandia!!(kubishana na ww ni sawa nakubishana na bibi yangu!!)na koma kusema mm rafiki yako!!”
rayuu-alice-bagenzi
Baadhi ya comments za wanawake:
“Ha ha ha best duh eti ye kila cku ana miaka 18 lol”
“kazi nkufatilia ya watu kuunda ushoga na wototo wadogo kaanza kwa wema kashindwa mara joket mara wolper heee wa wapi bibi sauda mwilima shoga ake haruc yake alipambwa kama jini na ailivyojichubua sasa kwenda kumponda kwenye blog na kipindi chake cha haruc eti aliempamba aunt ka?mpamba vibaya yee mbona hakupambwa vizur akatulia kwenye ndoa zake maana kama haruc kafanya mbili cjui na mtoto mkubwa wa kiume anae anaachakuwaza atamsomeshaje anaangaika kununua matako mpxiuuuuuu”
Hii kutoka kwa Rayuu mwenyewe: “hahahahah matako ananunua lkn bado flat!!alafu nahisi c mzm yule!”
“Hihihhhihihi mpk raha eti jLo khaaa zake zshapita aclazimishe kurudi tena” na nyingine nyingi tu za aina hiyo. Angalia screenshot hapa chini.
Baadhi ya comments za wanaume:
“Bongo bana eti ndo ma celeb hawa ….. pumbavu think u got nothing to do …. all you hv inside of your hds is fuckin shits …. mnaboa kwa kweli …. mna andika ujinga tu ….. na we rayu kama umeudhiwa saaaaaana bora mgemalizana hukohuko si haya tuhusu. wadogo zenu wanasoma upumbafu wenu mnaoandika…. embu elimikeni kidogo …..!
i thought you were a lady kumbe hamnazo. a lady shes listen en do her own things privatly sio kama hivi …. kudadeki ningekuwa na uwezo ningewachapa nyoooote cos mnatutia aibu.”
“wy masuper star bongo mnadhalilishana sana badilikeni bana fichianeni aibu saidianeni kama alivyofanya Wema kwa Kajala.” Angalia screenshot hapa chini kwa comments zaidi za wanaume.

0 comments:

Post a Comment