Blogger Widgets

Thursday, March 14, 2013

Vj Penny ni mama mtarajiwa wa mtoto wa Diamond Platnumz

804dd9627b9611e292b622000a1fb73b_7
 

Kupitia U Heard ya XXL (Clouds FM) Diamond amefunguka kuwa tayari amempa gari ya kutembelea mrembo huyo huku pia akimuagizia gari mpya aina ya Hyundai ix35.
“That’s true, ni kweli unajua sitaki kusema ni mpenzi wangu, sasa hivi ni mama watoto wangu kwasababu ya mizunguko ya kwenda clinic na nini nikaona sio vizuri kwenda kwenye madaladala kugombania… nikaona ni vizuri nikimnunulia gari yake kuendea clinic na vitu vingine. Nimemuaigizia ile new model ya Hyundai ix35.”
Hyundai ix35
Hyundai ix35
Bei ya Hyundai ix35 inaweza kufikia shilingi milioni 50 na zaidi.
Kufuatia taarifa hiyo, mastaa kibao wamejitokeza kuwapongeza wapenzi hao akiwemo Diva wa Clouds FM aliyeandika kupitia Instagram, “Hongera to My @Vjpenny04 …@diamondplatnumz . Am gonna be an Aunt soon. I need that Baby girl. Good hearted like mommy.
Teddykaegele: My Penny is too damn beautiful; I’m wishing her for a baby girl… so she can be as adorable like her mum.
Lorriefashion_vintage: no way!!seriously?? preg?Penny? may God secure her from all evils..
Congrats Diamond and Penny.

0 comments:

Post a Comment