Blogger Widgets

Friday, March 29, 2013

ANGALIA PICHA ZA MAMBO YA WALIMWENGU HAYO. THEN TOA TATHMINI YAKO

Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni.Kijana mmojaambaye akufahamika kwa jina mara moja Akiwa ametinga mavazi ya wanawake bila wasiwasi,Ama kweli dunia imekwisha,Kwa wenzetu huko hakuna tofauti kati ya mwanamke na mwanaume. Ombi kwa viongozi wetu wapinge upuuzi huu kwa kushirikiana na walezi kutuepusha na hili balaaa

Mhhhhh
Mapenzi ya jinsia moja yaisumbua sana dunia kwa sasa,Hii ni laana ya kupindukia. Tumwombe mwenyezi mungu atuepushe na hii laana watanzania
Mwingine huyu hana hata haya kaamua kutinga nguo za ndani za kina dada

Mwanamama wa kisomli akiwa na silaha tayri kwa mapambano na adui ,Kwa wenzetu huku ni jambo la kawaida kuwa na hiyo mashine kila saa.Usiombe hii hali maana yatisha,


Bibi kijana nae katokelezea wikiend anaenda mbagala


Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/2013/03/angalia-picha-za-mambo-ya-walimwengu.html#ixzz2OxbiUDgw

0 comments:

Post a Comment