Blogger Widgets

Friday, March 15, 2013

UZINDUZI WA JOTO HASIRA KWAHERI SHIDA ULIVYOFANA NYUMBANI LOUINGE USIKU HUU

Mwanamuziki Lady Jaydee akiimba wimbo wake mpya wa Joto Hasira wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo huu usiku huu kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge, Ada Estate maeneo ya Namanga, Dar es Salaam.

Jide akiimba wimbo huo kwa hisia

Mtayarishaji mkongwe wa Bongo Fleva nchini na DJ maarufu, Bonny Love kuli akiwa rafiki yake Qarim Shambe katika uzinduzi huo

Kimwana Johari katika uzinduzi huo

Jide akiimba

Jide akihojiwa na Waandishi wa Habari kuhusu video hiyo

Nyomi ndani ya Nyumbani Lounge wakati uzinduzi huo

Mashabiki kwa raha zao

Jide akitazama kwa utulivu video hiyo

Mwimbaji wa Machozi Band, Mayunga Nalimi akiimba katika uzinduzi huo

Bonny Luv akiwa na patna wake, Mboni Masimba: PICHA ZOTE NA BIN ZUBEIR 




      

0 comments:

Post a Comment