Blogger Widgets

Friday, March 29, 2013

CHONDE CHONDE ULEVI !!!? NOMAAAAAAAA!!!


 Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa  amezima baada ya kunya viroba na msichana kwa  kuonyesha uwezo  wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika  kukumbuka ule ujumbe wa  chonde chonde! ulevi Nomaaaaaaaaaa!?
 Hii ni karibu Pasaka kweheri ijumaa kuu
 Mlinzi  wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu
 
 Wasamaria  wema   wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima
 Hapa idadi ya walinzi  ikiendelea  kuongezeka eneo la tukio mjini Iringa usiku huu
Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo hadi sasa meneja  huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita  kiasi

0 comments:

Post a Comment