Blogger Widgets

Tuesday, March 19, 2013

MWANAMKE MWENYE WAUME WATANO, AMBAO WOTE NI MAKAKA WA FAMILIA MOJA NA ANALALA NA KILA MMOJA KWA SIKU TOFAUTI


Huyu ni dada Rajo Verma, mwenye umri wa miaka 21 kaolewa na wanaume watano na cha ajabu zaidi ni kua wanaume hao wote ni ndugu. Rajo anasema kua kutokana na kua na uhusiano na wanaume hao watano imekua ngumu kwake kujua nani ni baba wa mtoto huyo, kwani hulala na wanaume hao wote kwa zamu. Yani leo ni zamu ya huyu na kesho ni zamu ya mwingine.

Wa kwanza kumuoa ni Guddu mwenye umri wa miaka 21, yeye anasema haoni wivu mke wake kulala na kaka zake kwani ni ndugu zake na wanaishi kwa amani na upendo kama familia moja. Ndugu wengine wa Guddu ni Bajjumwenye miaka 32, Sant Ram mwenye miaka 28, Gopal mwenye miaka 26, naDinesh ambaye amefikisha miaka 18 mwaka huu.


Rajo anasema kua kipindi anaolewa na mme wake wa kwanza alijua kwamba ni lazima awakubali wanaume hao,kwani hata mama yake Rajo alikua kaolewa na wanaume watatu ndugu wa familia moja
SOURCE:http://shiladeux.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment