Blogger Widgets

Monday, March 18, 2013

DEREVA ANUSURIKA KUCHEZEA MAPANGA KWA KUMCHOMEKEA MWENZAKE(biti lakutosha angalia picha hizi)

Dereva wa daladala ambae jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa ameshika panga mkononi akitoka kumkoromea dereva mwenzake aliyetaka kumsababishia ajali kwa kumchomekea eneo la Mshindo mjini Iringa leo.





Hapa akitaka kumcharanga mapanga dereva mwenzake ,huku mwenyewe akinyosha mikono juu kuomba kusamehewa

Tabia ya madereva daladala mjini Iringa kuendesha vyombo hivyo bila kuzingatia sheria limeendelea kuongezeka na ajali pia kila kukicha

PICHA NA MAELEZO FRANCIS GODWIN

0 comments:

Post a Comment