Blogger Widgets

Tuesday, March 26, 2013

HAYA NDIO YALIKUWA MAANDALIZI YA COVERPHOTO YA MUZIKI GANI BY NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATNUMZ

Hii Ndio Cover Photo ya Nyimbo ya Nay wa Mitego Aliyonishirikisha
Mimi Jina La Wimbo Likiwa ni Muziki Gani...Ndani ya wimbo huo 
ukiwa na Mengi Manuwia Na Mengi Misemo yakupondana Lakini
kiukweli ni Vionjo tu vya Nyimbo na Kuleta Ladha Nzuri ya
Muziki wa Bongo Flavour na Hiphop......!!

Zifuatazo ni Picha kadhaa tulizopiga kwa Ajili ya Cover ya Nyimbo Hiyo
.....!!


Safari ilianzia Home Sweet Home Sinza....!!



Nikiwa Njiani kuelekea Mwenge Kwenye Photoshoot!!









Hapa Tukishauriana Jambo kwa Ufasaha zaidi....
Anzoo Mafia & QBoy Mnyama walikuepo Pia kutoa Mchango
wa Mawazo Unyama Gani Ufanyike Juu ya CoverPhoto Hiyo..!!

Ney wa Mitego akiwa Tayari kwa Picha...yanii Light On......
Nikijiweka Sawa Kwa Ajili ya PhotoShoot.....!!


Qboy Mnyama Akianda Light kwaajili ya Photoshoot..!!
Maandalizi yakiendelea...mwanangu wa damu QBoy akiniweka 
Sawa.....Ts All About Kuwa Msafii....!!


















0 comments:

Post a Comment