Blogger Widgets

Tuesday, March 19, 2013

GARI LA KIFAHARI ANALOMILIKI WEMA SEPETU ALILOAMUA KULITUMIA KWENYE MOVIE MPYA NA KULIANDIKA HILI JINA

 

.
Kwenye movie mpya ambayo itakua ya kwake ya pili kuigiza baada ya Super Star iliyozinduliwa na Omotola Jalade wa Nigeria, movie star wa Tanzania Wema Sepetu ataigiza na kutumia jina la Doris na hili gari ambalo ni moja ya anayoyamiliki kwenye maisha halisi, litatumika.
.
Hizi ni Exclusive pictures zilizopigwa na millardayo.com nyumbani kwake.
.
.
.
.
.
Sebleni kwake kama panavyoonekana, ameitumia pia nyumba yake kwenye hii movie mpya… hapa ilikua maandalizi ya kuendelea kushoot

0 comments:

Post a Comment