Blogger Widgets

Sunday, February 17, 2013

ANGALIA HAPA PICHA YA OMMY DIMPOZ AKIONDOKA AIRPORT DSM KWENDA U.K

Romy Jones, shemeji yetu Penny kwa Diamond na Ommy mwenyewe, Hii picha imepigwa na Diamond Platnums.

Staa wa bongofleva ambae mwaka huu ni miongoni mwa waliovunja rekodi ya kushika nafasi ya 1 kwenye top 20 ya Clouds FM Ommy Dimpoz ameondoka bongo leo kuelekea kwa Malkia kuifanyia kazi mialiko aliyoipokea.
  siku 14 zilizopita, Ommy Dimpoz alisema show za muziki anazokwenda kuzifanya U.K ndio zitamfanya achelewe kuanza kuifanyia kazi kolabo na Dj Cleo wa South Africa.
Dj Cleo amekiri kwamba yuko tayari kufanya kazi na Ommy Dimpoz, walishaongea lakini haikutokea ila hana tatizo kushirikiana na staa huyu wa ‘me and u’

0 comments:

Post a Comment