Blogger Widgets

Saturday, February 16, 2013

HIVI UNAIFAHAMU KUFURU ILIYOPO NDANI YA MDOMO WA RAPA BIRDMAN NA LIL WYNE WA CASH MONEY? SOMA HAPA NA ANGALIA PICHA UJIONEE MWENYEWE

#FAHAMU Jamaa anaitwa Brian Birdman Williams, Rapper, Mjasiriamali na Music Producer ambaye 15th February ndio 'inakuwaga' siku ya birthday yake ambapo sasa ametimiza miaka 44.
Birdman
Passion yake kubwa kabisa ipo kwenye madini (Bling Bling).... na kati ya vitu mbalimbali vya thamani na vya ajabu alivyonavyo rapa huyu ni Grills ama meno yake ya dhahabu ambayo yana nakshi ya Almasi juu yake.

*Meno/grills hizi hazitoki milele

*Zimewekwa baada ya kubadili/kuondoa muundo wa meno yake halisi kwa sehemu ya mbele

*Gharama ya insurance yake ni dola 780,000/-

*Gharama yake halisi ni dola 500,000 zaidi ya shilingi milioni 807 za Tanzania.

*Meno haya humlazimu kutumia dawa maalum kuyasafisha tofauti na dawa nyingine za meno za kawaida.

On the other hand, Weezy pia ana meno kama haya lakini ya kwake ni Almasi.


*Thamani yake ni dola 150,000 zaidi ya shilingi milioni 242 za kitanzania.


 #Jumla ya pesa ambayo mastaa hawa kwa pamoja wamewekeza katika kushine mdomoni ni dola 650,000/- sawa na zaidi ya shilingi bilioni 1 za kitanzania.

Lil Wayne na Birdman

0 comments:

Post a Comment