Blogger Widgets

Thursday, February 14, 2013

HUYU NDIYE MREMBO ALIYEUWA KWA MPENZI WAKE MWANARIADHA MLEMAVU WA AFRIKA KUSINI,OSCAR PISTORIUS

Huyu ndiye mchumba wa mshindi wa medali ya dhahabu wa riadha ya walemavu huko nchini Afrika Kusini,Oscar Pistorius,
Leo asubuhi kupitia katika mitandao mbalimbali ya habari iliripoti kwamba mwanaridha huyo Pistorious alidhani jambazi ameingia katika nyumba yake na kujikuta amefanya mauaji kwa mpenzi wake Reeva Steenkamp ambaye ni mwanamitindo wa nchini Afrika Kusini.

                                   Reeva Steenkamp enzi za uhai wake na Oscar Pistorius

0 comments:

Post a Comment