Blogger Widgets

Friday, February 8, 2013

ommy dimpoz afunguka kuhusiana na kuenea katika mitandao kuhusu Diamond anatumia mganga wa jadi katika kazi zake za muziki


 

Baada ya taarifa kuenea katika mitandao kuhusu Diamond anatumia mganga wa jadi katika kazi zake za muziki. Leo kupitia chombo kimoja wapo cha habari kimemuhoji  rafiki yake wa karibu 'Ommy Dimpoz' aliweza kusema kwa upande wake hadhani kama vitu vya ushirikina vinaleta faida katika upande wa muziki na wala hajawahi kujihusisha navyo maishani mwake.
 SWALI:Mara ya mwisho baada ya kukutana na Diamond Platinum hamjawahi kuzungumzia mambo ya ushirikina"Kusema kweli mara mwisho nakumbuka nilikutana naye na tukazungumzia kuhusu show yangu lakini mambo mengi hatujazungumza".Ommy Dimpoz alisema

0 comments:

Post a Comment