Blogger Widgets

Wednesday, March 6, 2013

EMBU ONA HII NDIO KAULI YA MAREKANI BAADA YA KIFO CHA RAIS WA VENEZUELA HUGO CHAVEZ.

.
.
Baada ya taarifa za uhakika kuripotiwa kwamba Rais wa Venezuela Hugo Chavez amefariki dunia, Rais Barack Obama wa Marekani amesema nchi yake imehamasika kuanza mazungumzo ya uhusiano mpya wa nchi hizo mbili.

Rais Hugo Chavez amefariki akiwa na umri wa miaka 58 akisumbuliwa na kansa ambapo taarifa yake ilitangazwa usiku wa kuamkia march 6 2013, alietangaza ni makamu wa Rais Nicolas Maduro ambae sekunde 40 baada ya kuanza kuzungumzia kifo hicho alishindwa kuzuia hisia zake na kulazimika kuwa kimya kwa muda kutokana na machungu.

0 comments:

Post a Comment