Blogger Widgets

Saturday, March 2, 2013

Embu oneni Wanawake wakindana kuonyeshana bikini kwenye ‘kitchen party’


Mambo ya kuonyesha bikini yalivyokuwa: kila mtu kivyake.

MIJIMAMA na wasichana kadhaa hivi karibuni “walizishusha heshima zao” kwa muda na kushindana kufanya mambo ya ajabu ikiwa pamoja na kuonyesha nguo zao za ndani (bikini) kwenye sherehe ya kumfunda bibi harusi mteule (kitchen party) iliyofanyika katika ukumbi wa Hedema maeneo ya Msamvu mjini Morogoro.

Baadhi ya watu waliokuwa hapo walionekana kuchefuliwa na vitendo hivyo ambapo baadhi ya waliovifanya ni wake za watu

0 comments:

Post a Comment