Blogger Widgets

Saturday, March 2, 2013

HUYU HAPA YULE KIJANA ALIYECHOMWA VISU, ANGALIA PICHA ZAKE HAPA

 

 kijana  Godfrey Masharo  mkazi  wa mjini Iringa  akivuja damu  baada ya  kuchomwa kisu kifuani na watu  wasiofahamika  usiku  wa leo  wakati akitoka  kujirusha disco
 Hapa  akivuja  damu akiwa nje ya  kituo cha  polisi kabla ya  kupelekwa hospitali ya mkoa  kwa matibabu  zaidi
 
Hivi  ndivyo  alivyochomwa  kisu  kijana  huyo.

0 comments:

Post a Comment