Blogger Widgets
  • Home
  • Videos
  • Contacts us
  • Advertisinment
  • Music
  • TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

the HOOD InfoTainment

INFORMATION AND ENTERTAINMENT

  • Home
  • Business
  • Downloads
  • Parent Category
  • Featured
  • Health
  • Uncategorized

Tuesday, March 12, 2013

Mastaa wa Marekani wanaodaiwa kuwa mashoga wa chini chini

4:50 AM    No comments

 Baada ya mwanamuziki wa kundi la Odd Future, Frank Ocean kuanika ukweli hadharani kuwa aliwahi kumpenda mwanaume mwenzie na hivyo kujulikana wazi kuwa ni gay, hawa chini ni miongoni mwa macelebrt wengine wa Marekani wanaodaiwa kuwa mashoga wa kabatini.



Eddie Murphy

Muigizaji huyu wa Coming to America kwa miaka mingi amekuwa akizushiwa kuwa na uhusiano na mwanamuziki Johnny Gill.




P. Diddy
Nguli huyu wa hip hop naye amekuwa akishutumiwa kushikishwa ukuta mara kadhaa ambapo mtangazaji mwenye maneno mengi Wendy Williams alidai kuona video ya Diddy na msanii wa zamani wa Bad Boy, Loon wakiwa kwenye pozi la mikasi.


Queen Latifah
Fununu za kuwa gay zimemwandama kwa miaka mingi Queen Latifah na hivi karibuni amedaiwa kuwa na uhusiano wa kisagaji na mwalimu wake wa mazoezi 


Kanye West
Maswali ya juu ya msimamo wa kimapenzi wa rapper huyu yamezuka mara kibao. Na ukiangalia jinsi anavyopenda masuala ya fashion na kutokuwa na uhusiano wa maana na wasichana huko nyuma, ni rahisi kumshuku.


Raven Symone
Muigizaji huyu hajawahi kukataa ama kukubali kuwa ni gay baada ya jarida la ‘Enquirer’ kudai kuwa alikuwa na uhusiano na mshiriki wa America’s Next Top Model, AzMarie Livingston. 


Will Smith
Baba huyu wa watoto watatu na mume wa Jada Pinkett naye amewahi kushambuliwa na shutuma za kuwa shoga wa siri siri.
Russell Simmons
Mwaka 2006 mwanamke asiyejulikana alidai kuokota BlackBerry ya Russell na alipoipekua aligundua kuwa jamaa alikuwa akiwatumia meseji za mapenzi wanaume.


Tyler Perry
Producer huyu wa filamu amewahi kuitwa shoga wa kabatini (closet gay) na vyanzo mbalimbali na kukataa kuzungumzia tetesi hizo kwenye interviews.


Dr. Dre
Pamaja na ugumu wake kwenye nyimbo anazotoa, rapper na producer huyu tajiri amewahi kusemwa pia kuwa shoga wa chini ya carpet na miezi ya hivi karibuni Suge Knight alidai kuwa yeye na 2 Pac wamewahi kushuhudia mahusiano ya Dre kama shoga.


Bow Wow
Hivi karibuni mwimbaji wa zamani wa kundi la B2K, Raz B, alitoa kitabu na kumshutumu rapper huyu kuwa si riziki.


Ne-Yo
Muonekano wake na uvaaji unatosha kumsababisha watu wahisi ni wale wale. Pia wanaume kadhaa wamewahi kudai kumchapa nao star huyu.


Missy Elliot
Ulishawahi kumuona Missy amevaa gauni? Lol… nadhani siku akivaa ardhi inaweza kupasuka. Kuna ripoti kuwa rapper huyo alimuoa mpenzi wake Sharaya.




source: http://www.bongo5.com/

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail
  • Popular
  • Tags
  • Blog Archives

FOR ANY BREAKING NEWS CLICK HERE

FOR ANY BREAKING NEWS CLICK HERE

BLOG NYINGINE

  • WAZALENDO 25 BLOG
  • NOLNIZ
  • ASILI YETU TANZANIA
  • INFO is HOT.
  • 24Hours Mix
  • the HOOD InfoTainment

Search This Blog

KAMA UNATAKA KUWA MWANDISHI BORA WA HABARI

KAMA UNATAKA KUWA MWANDISHI BORA WA HABARI

Popular Posts

  • WAJUE NA KUWATAMBUA FREEMASON, HAWA HAPA.
    Historia ya Freemason imegawanyika katika Nyakati kuu mbili tofauti, Yaani Kabla na baada ya Grand Lodge of England on 24 th J...
  • SAMAHANI KWA PICHA HIZI @MAPENZI YA JINSIA MOJA/ ATHARI YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
    Miji ya Sodoma na Gomora, Jordan iliangamizwa na kizazi cha Lutu kugeuzwa miamba ya chumvi lakini hali halisi ya Tanzania in...
  • HUU NDIO MTANDAO MZIMA WA KUJIUZA MASHOGA TANZANIA, KWA KILA MKOA.
    Baada ya Serikali ya Jamuuri ya Muungano wa Tanzania kukataa kuunga mkono suala la haki za mashoga na mahusiano ya jinsia moja kama nch...
  • ANGALIA PICHA ZA WAKE ZA WATU, MAKAHABA WANGONOKA NA MADEREVA KWENYE MALORI....HALI INATISHA SANA....!
    KILE kikosi maarufu kilichojizolea sifa kwa utenda kazi wake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) kilicho ndani ya jumba la Magazet...
  • HII NI HATARII:::KANGA MOJA TAZAMA WALIVYOFANYA LAANA KATIKA SHOW YA MSANII DIAMOND HUKO BUKOBA.
    Mambo yanayofanywa na hawa wakina dada wanaojiita kanga moja kusema ukweli yanatutia aibu sana japo nao wapo katika kuta...
  • HAWA NDO LIST YA MATAJIRI 10 WENYE HELA TANZANIA!List Of The Top Richest People In Tanzania
    Who are the richest people in Tanzania? Or who are the wealthiest people in the republic of Tanzania? ...
  • ANGALIA PICHA HIZI ZA ‘KANGA MOJA NDEMBENDEMBE’, ‘KANGA MOKO LAKI SI PESA’ NA ‘KITU T’ ALAFU UTATHMINI NI LENGO/DHUMUNI LAO LA UCHEZAJI HUU
      Astaghafirullahi.... hii sasa noma. Uchezaji huu wa mnenguaji mmojawapo wa akina 'Kanga Moko' nd'o uliomchefua mbunge had...
  • AIBU: HUU NDIO UCHAFU ULIOTAWALA NDOA NYINGI ZA LEO
    Hii Tabia ya Kutembea  na Waume au Wake za Watu  itaisha lini jamani?. Mbona Wanaume Ma-Bachelor Wapo K...
  • MWANAMKE ANASWA AKIFANYA MAPENZI MBELE YA MTOTO WAKE
      Ni tukio la aibu na lenye kuumiza mno lililotendeka mbele ya mtoto mdogo .Nimehuzunishwa na kuachwa na but...
  • ANGALIA PICHA ZA WASANII HAWA KISHA UTUAMBIE NANI MKALI
    Irene Uwoya Kiwanda cha filamu Tanzania kimezalisha waigizaji wengi wenye majina makubwa sasa. Miongoni mwao, ni wasichana hawa ambao...
Powered by Blogger.

Followers

Blog Archive

  • ►  2015 (3)
    • ►  April (1)
    • ►  March (2)
  • ►  2014 (31)
    • ►  August (2)
    • ►  May (5)
    • ►  April (5)
    • ►  March (9)
    • ►  February (5)
    • ►  January (5)
  • ▼  2013 (956)
    • ►  December (4)
    • ►  November (26)
    • ►  October (43)
    • ►  September (103)
    • ►  August (109)
    • ►  July (94)
    • ►  June (76)
    • ►  May (63)
    • ►  April (52)
    • ▼  March (187)
      • TOUR YA DIAMOND KANDA YA ZIWA YAFIKIA BUKOBA, BARA...
      • HAWA HAPA WALE MACHANGUDOA DODOMA WALIOKAMATWA NA ...
      • CHEKI RAIS OBAMA AKIWA NA FAMILIA YAKE WAKIENDA KA...
      • MAGAZETI YOTE YA LEO YAKO HAPA, TAZAMA YALICHOANDI...
      • MUONEKANO MPYA WA SUPER STAR WOLPER KAMA VIPI MKAR...
      • MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI WAZANZIBAR HUYU...
      • DIAMOND ADHIHIRISHA UBABE WAKE MBELE YA MAELFU YA ...
      • LADY JAY DEE AWATOLEA UVIVU CLOUDS FM RADIO VYAKUT...
      • KAMA UNA KIU YA MATOKEO YOTE YA PREMIER LEAGUE MAR...
      • SINTAH NA MANGE KIMAMBI NDANI YA BIFU ZITO .... WA...
      • MACHANGU-DOA MPAKA NJE YA MAKAZI YA WAZIRI MKUU? N...
      • HIZI NI KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZENYE STORI ...
      • CHONDE CHONDE ULEVI !!!? NOMAAAAAAAA!!!
      • SUGU ANG'AKA SONGWE KUITWA JK
      • ANGALIA PICHA ZA MAMBO YA WALIMWENGU HAYO. THEN TO...
      • PROFESA JAY AFUNGUA BARBER SHOP YA KISASA
      • Msichana apigwa na bwana wake baada ya kunyonya ch...
      • DIDA AMPA MAKAVU LIVE SINTAH
      • Kuanguka kwa Jengo Dar: MwanaFA, Profesa Jay, Vane...
      • HII HAPA RIPOTI KAMILI YA MAKONGO HIGH SCHOOL KUHU...
      • Rayuu amchana Sintah. Wanawake wamshabikia, wanaum...
      • "HATARI HATARI" New single ya Bou Nako cominh soon...
      • KUNDI LA P. SQUARE LAVUNJIKA! NINA STORY KAMILI HI...
      • HIKI HAPA ALICHOKISEMA NGWAIR, MASHABIKI NA CHIDI ...
      • Ukatili: Huyu hapa yule Binti Abakwa Mpaka Kufa mb...
      • TAARIFA KUHUSU HII TWEET INAYODAIWA YA KIM KARDASH...
      • ZITTO AKANUSHA KICHWA CHA HABARI CHA GAZETI LA LEO...
      • HAYA NDIO YALIKUWA MAANDALIZI YA COVERPHOTO YA MUZ...
      • Exclusive Details: Wema Sepetu ni tajiri kiasi gani?
      • BEBE COOL ASAFISHA HOSPITALI YA MULAGO
      • TID AVUNJA KIOO CHA GARI LAKE KWA HASIRA YA UGOMVI...
      • KOPLO ELIKIZA NNKO ALIYEFARIKI KWA KUGONGWA NA GAR...
      • AIBU: WANAFUNZI WA CHUO KIKUU WAJIPIGA PICHA CHAFU...
      • Upigaji picha wa Ngwair wa kutengeneza pembe 3 na ...
      • MASOGANGE AKIMBIA BONGO KISA MAKALIO YAKE! SOMA HA...
      • Hemed PHD "Nimeshindwa kuhandle pressure ya Wanawa...
      • Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara
      • DIAMOND AMSAIDIA MADEE KUTAFUTA ALIEKUNYWA POMBE YAKE
      • MAMA AFANYA MAJARIBIO MATATU KUMUUA MWANAE IKIWEMO...
      • PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MADEE-POMBE YANGU
      • HII NDIO LIST KAMILI YA NGOMA AMBAZO ZITAUNDA MIXT...
      • SENTENSI 3 ZA MANENO YA WEMA SEPETU KUHUSU VITISHO...
      • HAWA NDIO WASANII 9 WENYE FILAMU ZA NGONO MPAKA SASA.
      • Dogo Janjaro Akiwa bado yupo SOUTH AFRICA afunguka...
      • HAWA NDIYO... ‘WATAALAM’ WA PICHA ZA UTUPU BONGO
      • NEY WA MITEGO AWADISS WASANII WENZAKE WANAOIDISS N...
      • MAMA YAKE LINEX AMKATAA MCHUMBA WA LINEX AMBAYE NI...
      • BIBI WA MIAKA 90 ASIMULIA ALIVYOLAWITIWA USIKU KUC...
      • BIFF LA NEY WA MITEGO NA NIKKI MBISHI LAFIKA PABAYA
      • Wanafunzi washinda danguroni Dar
      • Wema awashangaa wanaomfutilia maisha yake
      • HIZI HAPA STORI NZITO ZA MAGAZETI YA LEO MARCH 20...
      • Haya ndiyo madhara/maradhi wayapatayo wasichana kw...
      • WAISLAMU WAENDESHA SALA TANO NDANI YA KANISA...
      • GARI LA KIFAHARI ANALOMILIKI WEMA SEPETU ALILOAMUA...
      • MWANAMKE MWENYE WAUME WATANO, AMBAO WOTE NI MAKAKA...
      • AMBER ROSE AONYESHA PICHA ZAKE BAADA YA KUJIFUNGUA...
      • HUYU HAPA MTANZANIA MCHEZA MOVIE ZA NGONO, ANAYEJI...
      • UJINGA MTUPU: HUYU HAPA YULE MWANAUME ANAYETUMIA P...
      • HII HAPA ILE STORI KAMILI YA MKE WA MTU ALIYEFUMAN...
      • PICHA ZA WASANII WA BONGO WANAOFANANA NA MASTAA WA...
      • HUYU HAPA YULE MWANAUME AMBAYE ANATARAJIWA KUFANYI...
      • EMBU ANGALIA PICHA HIZI ZAIDI YA 45 ZA DIAMOND ALI...
      • TOP 3 HOTTEST CELEBRITY COUPLE 2013
      • HABARI ZENYE UZITO WA JUU ZILIZOANDIKWA KURASA ZA ...
      • DEREVA ANUSURIKA KUCHEZEA MAPANGA KWA KUMCHOMEKEA ...
      • HAYA NI MANENO MAKALI YA SONGA KWA DIAMOND NA NEY ...
      • Tovuti rasmi ya kukusanya maoni kuhusu Sababu za m...
      • STORI NZITO KURASA ZA MWANZO NA MWISHO ZA MAGAZETI...
      • HII INAWAHUSU MASHABIKI WA BOB JUNIOUR...!!! Huu n...
      • KING MAJUTO AGOMA KUGOMBEA TUZO ZA WAIGIZAJI MPAKA...
      • MASTAA WAJIPANGA KWA MKESHA KUMUOMBEA KAJALA
      • SUALA LA KUKONGOROKA... RAY ATOA LA MOYONI
      • LULU ABANWA NA FAN WAKE TWITTER KUHUSU KIFO CHA KA...
      • RATIBA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA HII ...
      • ARSENE WENGER ATAKA KUSAJILI STRIKER HATARI KUTOKA...
      • DIAMOND PLATINUM KUJENGA MSIKITI
      • Wakazi audiss wimbo wa Ney wa Mitego na Diamond ‘p...
      • HIZI NDIO STORI NZITO ZA MAGAZETI YA LEO MARCH 16 ...
      • HII NDIO MOVIE YA BONGO INAYOLETA VISHAWISHI VYA N...
      • UZINDUZI WA JOTO HASIRA KWAHERI SHIDA ULIVYOFANA N...
      • JACK PATRICK....JAMII IMECHOKA KUONA PICHA ZAKO ZA...
      • RAFIKI WA RAILA ODINGA AMPA TALAKA MKEWE KWA KUMSI...
      • SAKATA LA MWANAMKE ALIYEVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI N...
      • HEMEDI : AMEDAI YEYE HARINGI TOFAUTISHENI SWAG NA ...
      • UNAFAHAMU PRESIDENT KATAJA KIASI GANI KILICHOTENGW...
      • HAYA NDIO MANENO ZAIDI YA 50 ALIYOANDIKA RAPPER CH...
      • HIVI UNAJUA WASTA ALIMUAGA SAJUKI KABURINI...? HII...
      • SIKILIZA NA KU-DOWNLOAD NU-JOIN NEY WAMITEGO feat...
      • Vj Penny ni mama mtarajiwa wa mtoto wa Diamond Pla...
      • ANGALIA PICHA HII YA MIOYO YA BINADAM IKONESHA MTU...
      • HII HAPA LYRICS YA NGOMA MPYA YA NEY WAMITEGO feat...
      • KWELI HII SASA NI SODOMA NA GOMORA BABU WA MIAKA 7...
      • PICHA ZA RIHANA, BEYONCE, TAYLOR SWIFT NA WASANII ...
      • KWA USHAHIDI HUU KUTOKA KWA WATU HAWA, INAONYESHA ...
      • SAMAHANI KWA PICHA HIZI @MAPENZI YA JINSIA MOJA/ ...
      • AINA NNE ZA MAPENZI
      • ANGALIA PICHA HIZI ZA ‘KANGA MOJA NDEMBENDEMBE’, ‘...
      • Lwakatare akamatwa!
      • BAADA YA KUTOKA SEGEREA HUYU HAPA LULU KATIKA POZ ...
    • ►  February (151)
    • ►  January (48)
  • ►  2012 (171)
    • ►  December (32)
    • ►  November (17)
    • ►  October (40)
    • ►  September (32)
    • ►  August (50)

Blogger templates

Follow this blog

Total Pageviews

2809771

 
Copyright © 2025 the HOOD InfoTainment | Powered by Blogger
Design by YUSHA SHABANI