Blogger Widgets

Sunday, March 10, 2013

Sababu za mvulana kushauriwa ku sex mara kwa mara.

Ni kweli juu ya usemi usemao "Nivigumu sana kuishi kwenye Sheria". Wataalamu wa afya wanasema "Kufanya sex mara nyingi ndivyo afya inavyokuwa nyema zaidi ( he more sex you have, the healthier you’ll be )" Lakini ni ile ambayo ni salama. Lakini pia sio kukupa afya, Pia wataalamu wanasema yakuwa unapofanya ngono zaidi inakusaidia wewe kuweza kupunguza msongo wa mawazo.
Nivyema kuwa na mpenzi mmoja ambaye unaweza kufanya naye haya yote nakuweza kukinga usalama wako zaidi.
Hizi ndizo faida ambazo unaweza kupata kwenye kufanya sex mara kwa mara na mpenzi wako.
Sex inasaidia kukupa afya ya moyo:
Wana uchunguzi wametaja ya kuwa Mvulana anaye fanaya Sex kwanzi mara mbili kwa siku anajikinga na ugonjwa wa cardiovascular  (CVD).
Wataalamu wa afya nchini New England walifanya uchunguzi kwa muda wa miaka 16, juu ya wavulana 1,165 ambao kwa mwezi walikukwa wanafanya Sex mara moja wakakutwa asilimia 50 walikuwa wmeshambuliwa na ugonjwa wa Cardiovascular na 50 nyingine kuwa kwenye hatari hiyo.

Husaidia kuongeza mfumo wa uzalishwaji wa Kinga mwilini:
Wavulana ambao wanafanya sex mara mbili kwa week au zaidi wanauwezo mkubwa wa kuzalisha kinga ya mwili kuliko ambao hawafanyi.
Kwamujibu wa Chuo cha Wilkes kilichopo Pennsylvania by psychologists Carl J. Charnetski, PhD, na Francis X. Brennan Jr., PhD. "Having s*x once or twice a week increases levels of an antibody called immunoglobin A".Hii inasaidia kupambana na homa na magonjwa mengine nyemelezi kama mafua nk.

Fanya mapenzi sana, Ishi sana/Love longer, live longer:
Utafiti wa Ireland uliochapishwa katika Journal British Medical mwaka 1997 iliyosema zaidi ya watu 1,000 walio kwenye umri wa wastani wamekuwa wanakufa kwa magojwa ndani ya muongo mmoja. Wakamalizia kwa kusema sex inaweza ikawa protection kwao. Kwa kukadiria umri na afya, Uchunguzi ukaonyesha kuwa wavulana wenye hamu ya kufanya sex (orgasms) huweza kuwa na pungufu ya 50% kuwa mashakani kwenye vifo.

Sex hupunguza msongo wa mawazo:
Kwa utafiti uliofanywa na chuo cha West of Scotland, kinasema mtu anayefanya sex mara kwa mara yupo kwenye uwanda mkubwa wa kujikinga na msongo wa mawazo. katika utafiti huo walichukuliwa wavulana 46 na wasichana 46 ambao waliambiwa waweke kumbukumbu za sex na hasa kipindi ambacho wao walikuwa na mitihani. Ikaonyesha kuwa walio fanya sex waliweza kuwa sawa na hata hivyo msongo wa mawazo kukimbia.
"People who had penile-vaginal intercourse did twice as well as people who only masturbated or had no sex at all" says psychologist and lead researcher Stuart Brody.

Kufanya mapenzi kunarudisha muda nyuma (Unazidi kuwa kijana):
Unaweza ukawa ulishawahi kuwaza kuwa unapofanya sex unachoka mapema. Mmoja wa British neuropsychologist David Weeks, MD, of Royal Edinburgh Hospital akiwa kwenye masomo zaidi ya miaka 10, aliweza kufanya mahojiano na watu walio pevuka ki umri 3,500 huko England and the United States na akaguduwa kuwa watu ambao hufanya sex hadi mara sita kwa week wanaonekana vijana miaka 10 nyuma kuliko ambao hawafanyi/hawakufanya.

Orgasm inaweza kukulinda zidi ya Saratani/kansa:
Katika moja ya utafiti uliofanywa nchini Marekani juu ya wenye kansa ya kibofu cha mmkojo, Wengi ambao walikutwa wanaumwa magojwa walipoulizwa juu ya history yao ya kufanya sex wakaonekana walikuwa kwa mwezi wanafanya pungufu ya mara saba na kupelekea maradhi hayo.

Wanaume ambao hufanya sex mara kwa mwara huwa na furaha mara nyingi:
Kutokana na kuwa na uzalishwaji mzuri wa kinga na baadhi ya kujiepusha na magojwa mengine, Inaonyesha yakuwa wavulana ambao wengi hujirusha kitandani huwa wanafurahaa mda mrefu nakujiepusha na magonjwa mengine.
Fanya Ngono Salama.

0 comments:

Post a Comment