Blogger Widgets

Thursday, March 7, 2013

WATANZANIA WATAWALIWA NA PICHA ZA NGONO FACEBOOK KWAKU-JOIN KWENYE GROUP NA KU-LIKE PAGE ZA NGONO

Unaikumbuka blog ya Ze Utamu ilivyokuwa maarufu enzi hizo? Kama ingekuwepo hadi leo tunaamini ingekuwa blog inayosomwa pengine kuliko zote nchini.
Bahati mbaya ama nzuri blog hiyo ilifungwa kitambo na mmiliki kukiona cha mtema kuni baada ya polisi wa kimataifa kumkamata na Mungu ndio anajua mtu huyo yuko wapi sasa hivi.
Lakini sasa hivi wakati ambao mitandao ya kijamii kama Facebook imejipatia umaarufu nchini, kuna makundi ama kurasa zimefunguliwa na kujipatia umaarufu mkubwa.

Kurasa hizo hazina tofauti sana na yaliyokuwa maudhui ya blog ya Ze Utamu. Kile kinachoandikwa na picha zinazowekwa ni za ngono zaidi.
Picha nyingi zinazoonekana ni za wanawake walionusu uchi ama uchi kabisa ambazo nyingi zimekuwa zikipata maoni mengi kutoka watu waliojiunga na kurasa hizo.
Kwa sasa kurasa hizo za ngono zimekuwa maarufu kiasi cha kuanza kuzizidi hata zile zinazozungumzia masuala ya muhimu kama vile siasa nk.
Ni ukweli usiopingika kuwa ngono huvuta hisia za wengi, lakini swali ni Je! Kuongezeka kwa umaarufu wa makundi haya kwenye mtandao wa Facebook ambao lengo lake lilikuwa ni kuwakutanisha marafiki na jamaa na kufahamu mengi yanayoendelea katika maisha na pia makampuni makubwa yakiutumia mtandao huo kama njia ya kuwasiliana na wateja, kunaifanya Facebook iwe mtandao usio na maadili kuliko mingine kama Twitter? 

Je huu ni mwanzo wa mtandao huo kuchimbiwa kaburi na watumiaji wake?
1. Jicho la Mvulana liko Fasta kuliko Google Pale linapo search Msichana.
Maelezo: Katika mwili wako wote ,.. jaribu sana kulitunza Jicho.
Likes 12,566
Bonyeza hapa kuiangalia


2. Bongo Hotties (Hot o Not)
Maelezo: Feel free to inbox us if u want ur pic 2 b posted here.. Only Hotties


Likes 10,196
Bonyeza hapa kuiangalia
3. Universal Tanzanian jokes


Maelezo: it's all about jokes and nude photos
Likes 9,703
Bonyeza hapa kuiangalia
4. YaNi UtAmU UnAkUjA . YaNi UtAmU UnAkAtA
Likes  7,713 
Bonyeza hapa kuiangalia
5. Kijiwe Cha Story Za Wakubwa
Likes 7,058 
Bonyeza hapa kuiangalia
6. Karibu Upate Utamu
Likes 1,713 
Bonyeza hapa kuiangalia
7. Malaya Sinza


Maelezo: KARIBU UCHAT NA MIMI NA UJUE MAMBO MENGI YA KIMAISHA HASA YANAYOHUSU STAREHE.
JIPATIE HUDUMA ZIFUATAZO:
1. Kujua njia mbalimbali za kufanya mapenzi
Likes 1,713 
Chanzo:- Mpekuzi blog

1 comment: