Blogger Widgets

Friday, March 1, 2013

WILSHERE AMJIBU THEO WALCOTT, NAYE ATUA NA GARI LA HATARI MAZOEZINI ARSENAL. ANGALIA HAPA


KIUNGO Jack Wilshere aliwasili katika Uwanja wa mazoezi wa Arsenal jana akiwa na gari la hatari aina ya Ferrari ili kufanana na mchezaji mwenzake, Theo Walcott.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amechukua aina ile ile ya gari Kitaliano kama alivyofanya Walcott wiki iliyopita katika kipindi ambacho Arsenal inajiandaa vyema na mchezo dhidi ya mahasimu wao wa Kaskazini mwa London kwenye Uwanja wao wa Colney.
The Gunners watasafiri Kaskazini mwa London kesho kwenda kupambana na wapinzani wao wakuu, Tottenham. 
Next stop Tottenham: Jack Wilshere in his Ferrari at Arsenal's Colney training ground
Breki ya kwanza Tottenham: Jack Wilshere akiwa na gari lake aina ya Ferrari katika Uwanja wa mazoezi wa Arsenal, Colney jana
Snap: Wilshere's team-mate Theo Walcott in the same Ferrari model
Mchezaji mwenzake Wilshere, Theo Walcott akiwa katika Ferrari kama ile ile
Preparation: Walcott and Wilshere in training
Maandalizi: Walcott na Wilshere wakijifua na wenzao

0 comments:

Post a Comment