Blogger Widgets

Tuesday, February 12, 2013

HUYU MWIGIZAJI NDIO ANATAJWA NA WENGI KWAMBA KAFANANA NA MAREHEMU KANUMBA.


Hii ni movie mpya ambayo imeingia sokoni siku mbili zilizopita, imetengenezwa na kampuni ya Marehemu Steven Kanumba, humo ndani wameigiza Seth mdogo wake Kanumba, Rose Ndauka, Muhogo Mchungu na Rammy wa kwanza kushoto ambae ndio anatajwa na wengi kwamba kafanana na marehemu Kanumba.
.
.

0 comments:

Post a Comment